Kocha wa zamani wa klabu ya Newcastle Falcons ambaye aliwahi kuhudumu  kwenye vikosi vya Wales, the British na Irish Lions pia aliwai kufundisha timu ya mpira miguu Newcastle United pia alikuwepo kwenye benchi la Kevin Keegan na Sunderland.

Steve Black alifundisha klabu za mpira wa miguu mbili kwa vipindi tofauti ambazo ni  Newcastle United na Sunderland pia alikuwa mshauri wa mchezaji wa Rugby ambaye pia ni mshindi wa kome la Dunia Jonny Wilkinson ambaye alishinda kombe la Dunia akiwa na Uingereza.

Steve Black, Tanzia: Steve Black Afariki Dunia Akiwa na Miaka 64, Meridianbet

Klabu ya Newcastle Falcons kwenye mchezo wao wa ligi kuu ya Rugby, Premiership Rugby ambao utachezwa hapo baadae, watasimama kimya kwa dakika moja ili kuomboleza kifo chake .

Steve Black alisaidia klabu ya Newcastle Falcons kushinda makombe mbalimbali waliyoshiriki huku akiwapandisha daraja na kwenda ligi kuu na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa ligu kuu ya Rugby nchini Uingereza.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa