Tetesi zinasema, Manchester City wako tayari kufanya mazungumzo ya mkataba mpya na mchezaji wa kimataifa wa Uingereza Raheem Sterling mwishoni mwa msimu huu.

Chelsea wamemwambia Cesar Azpilicueta kwamba watamsubiri mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 kuamua hatma yake iko wapi. Beki huyo wa Uhispania amepewa mkataba wa miaka miwili na chaguo la kuongeza msimu mwingine kutoka Barcelona.

Tetesi zinasema, Beki wa Ureno Diogo Dalot, 22, yuko tayari kurefusha muda wake wa kusalia Manchester United.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Manchester United wanaweza kuwazidi ujanja Liverpool kwa kumsajili Fabio Carvalho, 19, kutoka Fulham katika msimu wa joto wakati mkataba wake utamalizika.

Meneja wa Leeds United Marcelo Bielsa, 66, anatazamiwa kuondoka katika klabu hiyo msimu wa joto baada ya kusema kuwa haiwezekani kushindana katika Ligi ya Premia bila kujitolea kabisa.

Arsenal wanavutiwa na mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata, 29, huku Atletico Madrid wakiwa tayari kumuuza. The Gunners wanaweza kukabiliana na ushindani kutoka kwa Juventus, ambapo Morata yuko kwa mkopo kutoka upande wa La Liga.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Kiungo wa kati wa Chelsea na Italia Jorginho, 30, anasema alikuwa karibu kujiunga na Manchester City kabla ya kuhama kutoka Napoli hadi Stamford Bridge, na bado ana matarajio ya kucheza chini ya Pep Guardiola.

Chelsea wameelekeza macho yao kwa mlinzi wa Real Madrid na Brazil Eder Militao na wameomba kukutana na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ili kujadili uwezekano wa kuhamia Stamford Bridge.

Kiungo wa kati wa Tottenham Rodrigo Bentancur, 24, anasema wachezaji wenzake wa Uruguay Luis Suarez na Edinson Cavani walimsaidia kutimiza ndoto yake ya kuhamia Ligi ya Premia.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa