Timu ya Atletico Madrid iliibuka na ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Osasuna katika LaLiga siku ya Jumamosi katika uwanja wa Estadio El Sadar mabao yaliyowekwa kambani na Joao Felix, Luiz Suarez na Angel Correa.

Ushindi huo unakuja zikiwa zimesalia siku tano kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa ambapo watachuana na Manchester United Atletico wakiwa uwanja wa nyumbani Estadio Wanda Metropolitano siku ya Jumatano usiku.

Katika mchezo dhidi ya Osasuna Joao Felix aling’aa akileta shida kwenye safu ya ulinzi ya Osasuna Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 hakujificha na alionekana mchangamfu na kusaidia Atletico kutengeneza hatari mbele ya lango la wapinzani wao.

Swali ni je Man United wataijibu salamu hiyo ya mabao pale watakapo kabiliana na Leeds United siku ya leo huko Elland Road?


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa