Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmedy Ally, ameeleza kuwa klabu hiyo inaenda kufanya maboresho makubwa kuelekea msimu ujao.

Ahmed Ally ameeleza hayo leo wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Simba Kisukuru lililopo Tabata, Dar Es Salaamu.
Ahmed Ally
Ahmed Ally

“Tunakwenda kufanya maboresho makubwa ili kuifanya Simba kuwa bora na kuwa tishio zaidi kwa misimu ijayo,”

“Tuna wachezaji wengi wazuri, lakini ili uendelee kuwa hai ni lazima ufanye maboresho siku hadi siku, nami niwaahidi tu wana Simba ya kwamba kaeni kwa kutulia tunaleta watu kweli, watu wa maana, watu wanaokuja kutufanyia kazi, watu wakuja kuifanya Simba kuwa baab kubwa.”


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa