Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili nyota wa Manchester United, Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey

Jaji Dorsey amefuta kesi hiyo akisema nyaraka za siri walizokuwa wakizitegemea Kathryn na Mwanasheria wake kama ushahidi zilipatikana visivyo halali hivyo kitendo hicho kinaharibu mwenendo wa kesi

Kathryn alidai alifanyiwa tendo hilo Las Vegas, Marekani mwaka 2009. Ronaldo alisema hakumbaka bali walifanya ngono baada ya kuelewana.

Kulingana na uamuzi ulioandikwa wa jaji, “Mayorga anapoteza fursa yake ya kuendeleza kesi hii na kujaribu kutengua utatuzi wa madai ambayo yenyewe, yanahusisha madai mazito ya hali ya kibinafsi sana.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa