Klabu ya Coastal Union ya Tanga imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya baada ya kuifunga klabu ya Tanzania Prisons mabao mawili kwa bila.

Coastal Union wamepata ushindi wa magoli mawili kwa bila na magoli ya wanamangushi yakifungwa Maabad Maulid na goli la pili Hamad Majimengi na kuwafanya vijana hao kutoka Tanga kuondoka na alama muhimu katika dimba la Sokoine.coastal unionCoastal Union wanafanikiwa kucheza michezo mitatu ya ligi kuu ya NBC bila kupoteza pamoja na mchezo wa leo inakua minne huku wakishinda mitatu na kusuluhu mmoja na kukusanya alama jumla ya alama 10.coastal unionKlabu hiyo imefanikiwa kupanda nafasi baada ya kufikisha alama 11 na kupanda mpaka nafasi ya 11 kutoka nafasi ya 13 katika msimamo wa ligi kuu ya NBC, klabu hiyo ya wanamangushi ilionekana kuteleza baada ya kocha wao mkuu Juma mgunda kuelekea klabu ya Simba lakini kwasasa wameanza kurudi kwenye ubora wao.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa