Mlinda Mlango wa Yanga SC , Djigui Diarra ametakiwa kupunguza kujiamini zaidi awapo langoni jambo linaloweza kumtoa mchezoni na kujikuta akiisababishia timu yake matatizo. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amesema Diarra ni kipa mzuri na anayajua majukumu yake tatizo lake kubwa ni hilo asipokifanyia kazi hatoamini kitakachomkuta.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
“Unajua Diarra kujiamini kumezidi anatakiwa kujiamini kiasi, kuchezea mpira kiasi kile siku akikutana na mchezaji mjanja ataharibu CV yake, mashabiki hawatamuelewa hapo imani kwake itatoweka kabisa aliangalie sana hilo,”
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.


