Mshambuliaji wa klabu ya Geita Gold Sports Club George Mpole ndiye mwamba wa kucheka na nyavu kwenye ligi ya NBC Premier League msimu wa 2021-22 baada ya kufanikiwa kupachika magoli 17.
George Mpole kufanikiwa kuwa mfungaji bora msimu, inakuwa ni mara ya pili mfululizo kwa mfungaji bora wa Ligi Kuu kutokea hapahapa Nyumbani Tanzania. Mwaka jana mfungaji bora allikua John Bocco.
Wafungaji Bora NBC Premier League 2021/2022
- George Mpole (Geita Gold Football Club) – 17 Goals
- Fiston Mayele (Yanga Sports Club) – 16 Goals
- Reliant Lusajo (Namungo Football Club ) –10 Goals
- Rodgers Kola (Azam Football Club ) – 9 Goals
- Matheo Anthony ( KMC Football Club ) – 9
- Kibu Denis (Simba Sports Club ) –8 Goals
- Saido Ntibazonkiza (Yanga Sports Club) – 7 Goals
- Anuary Jabil (Dodoma Jiji Football Club) – 7 Goals
- Meddie Kagere (Simba Sports Club) –7 Goals
- Abdul Suleiman SOPU (Coastal Union ) – 7 Goals
- Vitalis Mayanga (Polisi Tanzania Football Club ) – 6 Goals
- Jeremiah Juma (Tanzania Prisons Football Club ) –6 Goals
- Pape Sakho (Simba Sports Club ) – 6 Goals
- Feisal Salum (Yanga Sports Club ) –6 Goals
- Daniel Lyanga (Geita Gold Football Club ) – 5 Goals
- Habib Kyombo (Mbeya Kwanza Football Club ) –5 Goals
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.