Mashabiki wa Simba Waliompiga Shabiki wa Yanga

RASMI Bodi ya Ligi Kuu imetangaza kuchukua hatua kwa Mashabiki wa Simba Sc walioleta vurugu jukwaani kwa uthibitisho wa video, zilizosambaa mtandaoni.

Video hiiyo inionyesha Mashabiki wa Simba Sc wakimshambulia Kwa kumpiga kikatili shabiki wa Yanga Sc.

Msemaji wa Bodi ya Ligi Kuu Karim Boimanda amesema wanachukua hatua kali kwa mashabiki hao kwa kusababisha uvunjifu wa amani uwanjani.

Vitendo ambavyo havivumiliki na havikubaliki kwenye mpira wa sasa wa Tanzania.

Acha ujumbe