FISTON Mayele nyota wa Yanga amefikisha mabao 6 kibindoni baada ya jana kufunga hat trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars.

 

mayele

Dakika 90 za mchezo huo zilikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 4-1 Singida Big Stars ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Yanga kuupata wakiwa nyumbani msimu huu.

Bao lingine la Yanga limefungwa na beki Kibwana Shomari ikiwa ni bao lake la kwanza kwa msimu huu wa 2022/23.

 

mayele

Kwa Singida Big Stars ni Meddie Kagere alimtungua Aboutwalib Mshery na kuiandikia bao la kufutia machozi Singida Big Stars.

Yanga inafikisha pointi 26 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimmo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 10 inaishusha Azam FC nafasi ya pili huku watani zao wa jad Simba wakiwa nafasi ya tatu.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea.

Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

mayele, Mayele Aweka Rekodi, Meridianbet

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa