TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya Uongozi wa klab ya Geita Gold ni kwamba Uongozi wa klab hiyo unakaribia kuachana na kocha wake Mkuu Hemed Moroco na benchi lake lote.

Uongozi wa klabu hiyo unafikiria kuyafikia maamuzi hayo muda wowote kuanzia siku ya Alhamisi hii ni baada ya klab yao kutokuwa na mwenendo mzuri na wakuridhisha ndani ya ligi kuu Tanzania bara (NBC),

Takwimu za Hemed Morocco akiwa na Geita msimu huu

Alama 6
Michezo 8
Nafasi ya 15JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa