Nyota Azam Aanza Kutupia Polisi Tanzania

Aliyekuwa nyota wa Azam FC, Idd Kipagwile ambaye kwa sasa anakitumikia kikosi cha Polisi Tanzania ameanza kutupia bao la kwanza msimu huu dhidi ya Dodoma Jiji.

Kipagwile amejiunga na Polisi kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu akitokea Azam baada ya mkataba wake kumalizika.

Kwenye mchezo wa ligi uliopigwa jana jumanne kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha Kipagwile alifunga bao pekee la Polisi kwa pelnat na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Polisi Tanzania kwa sasa wanashika nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi wakiwa wamekusanya pointi sita baada ya kucheza mechi 10.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.