Taarifa zinasema kuwa nyota wa Manchester City,Sergio Aguero anasuasua kuvalia njuga suala lake la uhamisho kwenda Barcelona kwa sababu anahitaji kuwa na uhakika na Lionel Messi kusalia klabuni hapo kabla hajaamua kukamilisha uhamisho wake.

Ipo wazi kuwa Aguero9 anaondoka Man City hivi karibuni, na ukiacha Barca kuhusishwa naye Juventus pia wanatajwa kuwa wanendelea kufuatilia kwa ukaribu hali ya Sergio Aguero, na kutafuta namna ya kumsawishi.

Lakini kwa mujibu wa taarifa ni kuwa staa huu wa City kwa sasa hayupo tayari kufanya maamuzi rasmi ya kusaini dili la Barcelona hadi pale atakapojua kuwa Lionel Messi anabakia pia klabuni hapo.

Sergio Aguero na Lionel Messi
Ukiacha urafiki wao, wanaamini kuwa wanaweza kufanya kazi nzuri pamoja.

Licha ya wawili hawa kuwa marafiki, Aguero anaamini yeye na Messi wanaweza kufanya vyema sana pamoja dimbamo. Wakati huo raisi wa Barcelona, Joan Laporta aliweka wazi kuwa mazungumzo na messi juu ya mkataba mpya yanaendelea vyema.

Ikiwa Barca watafanikiwa kubakia na huduma ya Messi, basi ni rahisi zaidi kwao kupata saini ya Aguero.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa