Anis Hadj Moussa Arejea Mazoezini Feyenoord

Winga wa Feyenoord, Anis Hadj Moussa, amerejea rasmi mazoezini na kikosi hicho Jumatano, akitoa matumaini makubwa kabla ya mechi yao dhidi ya FC Volendam. Nyota huyo wa Algeria alionekana akifanya mazoezi pamoja na wenzake, ishara kuwa amepona kwa kiasi kikubwa.

Anis Hadj Moussa Arejea Mazoezini Feyenoord

Anis Hadj Moussa alikuwa ameondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Algeria kutokana na majeraha, baada ya kupata tatizo la nyonga wakati wa mchezo wa De Klassieker dhidi ya Ajax uliomalizika kwa sare ya 1-1. Baada ya hapo, alirejea Rotterdam kuendelea na matibabu na programu ya kupona.

Sasa inaonekana ana nafasi kubwa ya kurejea uwanjani katika mchezo ujao, jambo litakalokuwa busti kubwa kwa Feyenoord katika safu ya ushambuliaji. Uwepo wake unaweza kuongeza ubunifu na kasi ambayo timu imeikosa kwa muda.

Anis Hadj Moussa Arejea Mazoezini Feyenoord

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Wakati huo huo, mshambuliaji kinara Ayase Ueda alikuwa kwenye majukumu ya kimataifa na Japan, ambapo walipata ushindi muhimu dhidi ya England. Hii inaonyesha kuwa Feyenoord bado wana chaguo imara katika safu ya mbele.

Anis Hadj Moussa Arejea Mazoezini Feyenoord

Hata hivyo, kuna wasiwasi juu ya hali ya Leo Sauer ambaye alipata jeraha akiwa na timu ya taifa ya Slovakia. Endapo kila kitu kitaenda sawa, Feyenoord wanaweza kuanza mchezo wao dhidi ya Volendam wakiwa na safu ya ushambuliaji ikijumuisha Anis Hadj Moussa, Ueda na Raheem Sterling.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.