Hali ya mkataba wa Emile Smith Rowe inaripotiwa kuwa na sarakasi kadhaa, na ripoti zinataja kuwa Aston Villa wanafuatilia kwa ukaribu hali ya mkataba ya staa huyo wa Arsenal.

Nyota huyu wa miaka 20 alikuwa na msimu mzuri akiwa na Arsenal, akifanikiwa kucheza mechi 33 za michuano yote, akichangia magoli manne na kutoa usaidizi wa magoli saba.

Taarifa zinasema suala la mkataba wa kinda huyu bado liko mezani, na hivi karibuni itakuwa wazi kama atasaini mkataba wa miaka 5 au lah.

Emile Smith Rowe Arsenal
Emile Smith Rowe

Kwa mujibu wa The Telegragh, Aston Villa wanafatilia kwa ukaribu hali ya mkataba wa kinda huyo huko North London.

Mkataba wa sasa wa Smith Rowe bado una miaka miwili iliyosalia ya kuendelea kuwepo klabuni hapo, hivyo ni jambo ambalo Arsenal wanaweza kuamua kutolipa kipaumbele kwa sasa, japokuwa hivyo ndivyo mchezaji mwenyewe angependa.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa