Ballon d’Or ni jina la kifaransa kwa kingereza linajulikana kama “Golden ball” kwa kiswahili ni mpira wa dhababu, tuzo hii ya mpira wa dhahabu ilianzishwa na jarida la habari la kifaransa 1956, ni miaka 65 sasa na kuatambulika kama tuzo pekee za kale kwa wachezaji zenye heshima.
Ingawa kati ya mwaka 2010 hadi 2015 waliingia makubaliano na chama cha mpira wa miguu FIFA na kuzibadilisha jina kuwa FIFA Ballon d’Or na kusimama kama “FIFA World Player of the Year” kuwa mchezaji bora wa dunia japo muungano huo ulikufa mwaka 2016na kurudishwa jina lake la awali.

Tokea kuanzishwa kwake mwaka 1956 waliokuwa wanaruhusiwa kupiga kura walikuwa ni waandishi wa habari za michezo tu, mpaka mwaka 2007 ndipo walipoanza kuruhusu makocha na makapteni wa timu za taifa kupiga kura, awali ilikuwa tuzo ni kwa ajiri ya wachezaji wa ulaya pekee ila mwaka 2007 ikawa ni tuzo kwa ajiri ya wachezaji wote.
Mchezaji anayeongoza kuchukua tuzo nyingi ni Lionel Messi akiwa tuzo sita, mwafrika pekee aliyechukua tuzo hiyo ni George Weah, kipa pekee ni Lev Yashin, huku nchi inayoongoza kutoa wachezaji wengi ni Ujerumani imetoa wachezji 5 na klabu inayoongoza kutoa wachezaji wengi waliochukua tuzo hiyo ni Barcelona imetoa wachezaji sita.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.


