Klabu ya Chelsea imetakiwa kuondoa nembo ya mdhamini ‘Three’ kwenye jezi yake haraka iwezekanvyo kampuni hiyo ya mawasilino nchini Uingereza kwenye waraka waliowandikia klabu hiyo mapema leo.
Three ilikuwa ni moja kampuni ambazo zilisitisha udamini wake kwenye klabu ya Chelsea, baada ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich kuwekewa vikwazo na serikali ya Uingereza.
Chelsea ilibidi waendelee kuvaa nembo ya ‘Three’ mbele ya jezi zao kutokana na kibali cha uendeshaji walichopewa na serikali, kuwa inabidi waendelee kuvaa nembo ya mdhamini ili waweze kupata kibali cha uendeshaji.
Chelsea hawawezi tena kuprint jezi mpya kutokana na kuwekewa vikwazo vikali, kufuatiwa serikali kuzuia mali za mmiliki Roman Abramovich, ila wanaweza kutafuta sticker ili kuweza kuziba nembo hiyo, huku ‘Three’ wakiwataka Chelsea kutafuta njia ya kuondoa nembo hiyo haraka iwezekanavyo.
Masemaji wa kampuni ya Three alisema, “tunaelewa kutokana na mazungumzo tuliyofanya na klabu ya Chelsea, kulingana na mambo yanayoendelea kuhusu kuiondoa nembo ya Three kwenye jezi zao, kutokana na matokeo ya usambazaji wa jezi na vikwazo vya leseni ya uendesaji.
“Tumewaomba kwamba chelsea kutafuta njia ya haraka kwenye swala hili.”
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.