Mchezaji wa klabu ya West Han Kurt Zouma na kaka yake Yoan wameshitakiwa na RSPCA chini ya sheria ya mwaka 2006 ya haki ya wanyama baada ya ndugu hao wakoneka kwenye video wakishirikiana kumuadhibu paka.
Kwenye video hiyo Kurt alioneka akicheka huku akiwa anamudhibu paka huyo na kukimbizana nae kwenye sebule yake kabla ya Video haijawa maarufu mitandaoni, Paka wawili ambao alikuwa anawamiki alinyanganwa na sasa wanatunzwa na RSPCA.
RSPCA walithibitisha Kurt na ndugu yake watakumbana na mkono wa sheria na watashitakiwa kwa kosa la kumshambulia paka, “kufuatiwa uchunguzi uliofanyika, tumeanza juchukua hatua za juwafungulia mashitaka Kurt zouma na yoan zouma chini ya sheria yawanyama,” waraka wa RSPCA ulieleza.
“Paka wake wawili wataendelea kushikiliwa na kutunzwa RSPCA. Tutakuwa na nafasi ya kuwaachia baada ya maelezo ya mahakama kuthibitisha kuachiwa kwao.”
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.