Michail Antonio amezungumzia sakata la mchezaji wa West Ham Kurt Zouma la kuandamwa na mashambulio kutoka kwa watu wanaotetea haki za wa nyama, ambao wanashinikiza nyota huyu kusimamishwa na klabu yake.

Taarifa zinasema kuwa staa huyu amelazimika kukubaliana na malipo yake kuelekezwa kwenye huduma za wanyama, kama namna ya kuwajibika kwa kumpiga paka wake, kitendo ambacho ni kinyume kwa baadhi ya nchi ikiwemo Uingereza.

lakini hali bado haijawa shwari, huku Kurt Zouma akiendelea kupata mashinikizo kadhaa kama matokeo ya alichokifanya, bila shaka anajutia.

Hata hivyo, Michail Antonio amezungumzia suala hilo, na kubainisha kuwa licha ya ukweli kuwa haungi mkono kile kilichofanywa na Kurt Zouma, lakini amehoji je suala hilo ni kubwa kuliko ubaguzi wa rangi? kwa kuwa kuwa watu waliothibitika na madai ya ubaguzi wa rangi na wakaendelea kucheza soka bila mashinikizo zaidi.

“Kuna watu ambao wamethibitika kuwa na hatia ya madai ya ubaguzi wa rangi, lakini bado waliweza kuendelea kucheza soka baada ya hapo. Walipewa adhabu za kawaida”

Mdogo wa Kurt Zouma, Yoan pia amesimamishwa kwenye kikosi cha Dagenham & Redbridge FC kwa sababu ya kuhusika kwake kwenye sakata hilo. Unadhani ipi ni adhabu ambayo ingefaa kwa unyanyasaji wa wanyama? Weka maoni yako hapa chini.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa