Klabu ya Liverpool ilifanikiwa kuinasa saini ya mchezaji wa kimataifa wa Colombia Luis Diaz siku za mwisho wakati wa dirisha la uhamisho la Januari.

Diaz Alikaribia Kutua Barca Kabla ya Kwenda Liverpool

El Pais la Spania liliripoti kwamba Barcelona walikuwa wakimfuatilia Diaz kwa miezi kadhaa na walitaka kumleta Camp Nou iliashirikiane na akina Adama Traore na Pierre-Emerick Aubameyang.

Taarifa zilidai kwamba Barca walikuwa wanataka kumuuza Dembele ili wamnase Luiz Diaz lakini walijitoa kwenye mbio baada ya kushindw kumuuza Dembele.

Vilabu vingine vilikuwa kwenye kinyang’anyiro cha kumpata Diaz ni Roma na Tottenham lakini hatimaye akaelekea Anfiled kwa dau la euro 37.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa