Chelsea wanajiandaa kuachana na kipa wao Kepa Arrizabalaga kwenye majira ya kiangazi kulingana na taarifa ya ndani ya viunga vya timu hiyo huku klabu ya Newcastle United ikiwa ni miongoni ya vilabu vilivyo kuwa mstari wa mbele kuwania saini yake.

Mchezaji huyo wa kimataifa kutokea nchini Hispania aligonga vichwa vya habari siku ya jumapili baada ya klabu yake kupoteza mchezo wa final ya Carabao Cup dhidi ya Liverpool huku yeye akiwa ni mtu pekee alikosa penalty na kuwapa ubingwa majogoo wa Anfield.

chelsea

Baada ya mchezo wa fainali jumapilia, mtandao wa Daily Star, ulilitoa taarifa kuwa Tuchel yuko tayari kumuweka sokoni golikipa wake huyo wa akiba, na yuko tayari kusikiliza offa yeyote isiyopungua £50milioni.

Chelsea walimnunua Kepa Arrizabalaga kwa rekodi ya dunia baada ya klabu hiyo kilipa £72milioni kutoka Athletic Club mwaka 2018, kama mbadala wa muda mrefu wa Thibaut Courtois, na tokea  Edouard Mendy asajiriwe mwaka 2020 kwenye majira ya kiangazi nafasi ya Kepa imekuwa shakani.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa