Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amemtaka Jack Grealish kuacha kujifikiria kuhusu takwimu zake na maoni ya mashabiki amemsisitiza kuangazia mchango wake kwenye timu ya Man City.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza ambaye alisajiliwa kwa dau kubwa klabuni hapo (£100 m) akitokea Aston Villa amefunga mabao matatu na kutoa asisti tatu katika michezo 25 aliyocheza kwenye mashindano yote.

Grealish alikiri kwamba anataka kuboresha kiwango chake na takwimu zake “Nadhani kitu kikubwa ni magoli na asisiti hiyo ndiyo lengwa najaribu kufanyia kazi.”

Lakini bosi wa City anasema Grealish anapaswa kuchukua hatua na kuzingatia katika kuisadia timu na kuchangia.

“Labda amekosea. Labda anasikiliza sana kile ambacho watu wanasema. Ni makosa lakini takwimu ni bora na anacheza sawa kabisa na Aston Villa katika suala la kuwasiliana na mpira,” Guardiola alisema.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa