Shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA limeiondoa timu ya Spartak Moscow kwenye michuano ya Europa League kufuatia uvamizi unaoendelea wa taifa la Urusi nchini Ukraine.

Mashirikisho mbalimbali ya michezo duniani yameanza kuitenga nchi ya Urusi kutokana na maamuzi ya raisi wa nchi kuamua kulivamia taifa la Ukraine na kusababisha vita ambayo inaendelea ndani ya nchi ya Ukraine.

uefa, UEFA Yaiondoa Spartak Moscow Kwenye Michuano ya Europa League, Meridianbet

UEFA imehamisha mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa ambao ulipangwa kufanyika kwenye nchi hiyo ndani ya jiji la St Petersburg na kupeleka mchezo huo nchini ufaransa kwenye jiji la Paris huku mbio za magari ya langalanga wakifuta Russian Grand Prix.

Kuindoa Spartak Moscow kwenye mashindano hayo ambapo walifanikiwa kufika kwenye hatua ya mtoano kunaweza kuipa nafasi timu ya Leicester City kuweza kucheza hatua ya 16 bora baada ya kumaliza chini ya Spartak Moscow.

Leicester City walipamgwa kucheza na  Rennes kwenye hatua ya 16 bora kwenye ligi ya Europa Conference League na kuondolewa kwa Spartak Moscow kunampa nafasi ya kupanda na kushiriki UEFA Europa League na atacheza na RB Leipzig kwenye 16 bora.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa