Klabu ya Chelsea imeongeza jina la mshambuliji wao wa zamani, Romelu Lukaku kama moja ya washambuliaji wanao wwania kutua katika viunga vya Stamford Bridge.
Chelsea wanamtazama Lukaku endapo wata shindwa kuinasa saini ya mshambuliaji kinda wa Borussia Dortmund, Erling Haaland ambaye anamezewa mate na vikabu vingi barani ulaya.
Lukaku amewahi kukitumikia kikosi hicho cha bluez mwaka 2011/13 kabla ya kuuzwa moja kwa moja katika klabu ya Everton na baadae kutua Manchester United na hatimaye Inter Milan.
Chelsea wanapata changamoto kupata saini ya Haaland kutoka kwenye vilabu kama Real Madrid, Barcelona na Manchester City.
Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Dorophina
Chelsea wapambane kumpata haaland maana Ni bora kuliko hata lukaku
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa lucaku yupo vizuri sana
Sarah
Lukaku yupo vizuri wakimpata itakuwa Jambo zuri
Adelta
Lukaku yupo vizuri uwanjani na anakubalika
Hopemwaikuka
Namkubal
warda
Itakuwa poa sna