Christian Eriksen Afanya Mazoezi na Ajax

Mchezaji wa kimataifa kutokea Denmark Christian Eriksen kwa sasa anafanya mazoezi na timu ya akiba ya Ajax ili kuweza kujiweka sawa wakati akiwa anatafuta timu ya kujiunga nayo.

Kiungo huyo mwenye miaka 29 hajacheza tangia apate matatizo ya moyo na timu yake ya taifa kwenye mchezo wa ufunguzu wa euro dhidi ya Finland mwezi june mwaka jana.

Christian Eriksen
Christian Eriksen

Eriksen alianza maisha yake ya soka la kulipwa katika klabu ya Ajax mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 18, baada ya kupita kwenye timu za vijana, baada ya kuitumikia kwa miaka mitatu klabu ya Ajax na kushinda mataji matatu uholanzi  mwaka 2013 alijiunga na Tottenham kabla ya kujiunga na Inter mwaka 2020.

“Nina furaha sana kuwa kuwa hapa, nawajua watu wa hapa, najihisi kama narudi nyumbani sababu nilikuwa hapa kwa muda mrefu.” Eriksen alitoa waraka huo kwenye mtandao wa klabu.

Christian Eriksen Afanya Mazoezi na Ajax aliwai kuimbia chombo cha habari cha nchini Denmark mwezi huu kwamba anatarajia kuichezea timu ya taifa ya Denmark kwenye kombe la dunia mwaka huu nchini Qatar.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

 

 

Acha ujumbe