Anthony Martial Ndani ya Sevilla

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Anthony Martial ameshatua nchini Hispania kukamilisha usajiri wake kwenye klabu ya sevilla, ambayo imekubali kulipa kiasi cha £5milion ilikuweza kupata huduma yake kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.

Baada ya klabu zote mbili kukubaliana kuhusu uhamisho huo pia Anthony Martial na alipofanya mazungumzo binafsi na klabu hiyo na wakubaliana kuweza kupunguza  mshahara wake ili kurahisisha uhamisho huo, lakini hakuna kipengere chcote kwenye mkataba huo kuweza kumnunua mwisho wa msimu.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye miaka 26 aliimbia klabu yake kuwa anataka kuondoka na sevilla ndio lilikuwa chaguo lake la kwanza, pia kurikuwa na klabu kadhaa ambazo zilikuwa zinamfuatilia ambazo ni Newcastle na Tottenham, lakini Martial alisisitiza kuwa anataka kwenda nje ya Uingereza.

Juventus na Barcelona walikuwa wanahitaji huduma yake nao lakini walikuwa hawataki kubeba mzigo wa kumlipa mshahara, Anthony Martial kwa sasa anajiandaa kufanyiwa vipimo baada ya kupiga picha kadhaa kwenye klabu hiyo.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe