Craig Gordon Awaaga Celtic

Golikipa mkongwe wa klabu ya Celtic na timu ya taifa ya Scotland, Craig Gordon amewaaga rasmi mashabiki, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo kwa kuweka wazi kuwa msimu ujao wa ligi utakapoanza atakuwa na timu nyingine.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 37, mpaka sasa ameshacheza jumla ya michezo 242 akiwa na kikosi cha Celtic ndani ya miaka 6 aliyoitumikia klabu hiyo.

Golikipa mkongwe wa klabu ya Celtic na timu ya taifa ya Scotland, Craig Gordon amewaaga rasmi mashabiki, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo kwa kuweka wazi kuwa msimu ujao wa ligi utakapoanza atakuwa na timu nyingine.  Nyota huyo mwenye umri wa miaka 37, mpaka sa

Craig Gordon, aliyewahi kuichezea timu ya Sunderland, hivi karibuni alipewa mkataba mpya na klabu yake ya Celtic lakini akagoma kuusaini. Mkataba huo unasemekana kuwa ulikua umeounguzwa vipengele vingi sana kwani klabu ilizingatia uwezo wa golikipa huyo hivi sasa pamoja na umri  ikumbukwe kuwa  Gordon hivi sasa amepoteza namba katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo kwa golikipa mwingine Fraser Forster.

Pamoja na kuwa na maongezi na vilabu vingine, Gordon pia anaifikiria ofa ya kurejea katika timu yake ya zamani, Hearts!

Golikipa huyo mahiri atakumbukwa sana na wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na mashabiki wa Celtic kutokana na mafanikia aliyoyapata akiwa na timu hiyo. Gordon, akiwa na Celtic aliweza kushinda ubingwa wa ligi kuu Scotland mara 6, vikombe 5 vya ligi na Scottish Cup mara 3!

Golikipa mkongwe wa klabu ya Celtic na timu ya taifa ya Scotland, Craig Gordon amewaaga rasmi mashabiki, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo kwa kuweka wazi kuwa msimu ujao wa ligi utakapoanza atakuwa na timu nyingine.  Nyota huyo mwenye umri wa miaka 37, mpaka sa

“Nimekuwa na miaka sita yenye mafanikio sana katika career yangu nikiwa hapa. Ningependa kuchukua fursa hii kumshukuru kila mtu aliyewezesha hili kwa namna moja au nyingine.” Alichapisha Gordon katika ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Instagram.

42 Komentara

    Hongera yake

    Jibu

    Kila la heri katika safari yako ya mechi nyingine ukapate pia mafanikio ya vikombe

    Jibu

    Atafute sehemu nyingine ambayo atakuwa anacheza coz umri haujaenda sana

    Jibu

    Duh kila la kheri uko aendapo

    Jibu

    Ahsant meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Gordon atakumbukwa

    Jibu

    Kila la kheri uende salama

    Jibu

    Safari njema napongezi kwakwe

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Asante kwa update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Craig Gordon amewaaga kishujaa kwa sababu anajua anachokifanya ,ni jambo la heri kwake.

    Jibu

    Kila lakheri aendako

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Celtic na uwongozi kwa jumla bado walikua wanatamani sana uwepo wako ila ndio hivyo tena hawezi kupinga maamuzi yako safari njema uko uwendako Craig gordon

    Jibu

    Kila la kheli katika safari yake aendayo#meridianbettz

    Jibu

    Inapendeza na kufurahisha kuona unaondoka Mahali bado unapendwa kwa uwezo wako wa michezo#meridianbett

    Jibu

    Gordon aliitendea haki nafasi yake vizuri akiwa na celtic kwa kipindi chote alipokuwa hapo na kuifanya ipate mataji mengi sana.

    Jibu

    Ni jambo La kheri akapambane clubu zingine kwani maisha ni popote

    Jibu

    Nipo poa acha mchizi Gordon astafu maana age ishakata miaka 37 sio poa kakinukisha sana

    Jibu

    Kila la kheri Gordon

    Jibu

    Kafanya vizuri kuaga#Meridianbettz

    Jibu

    Craig Gordon kafanya vzur sana akiwa Celtic 👍 kila la her
    # 👏👏👏

    Jibu

    Kila heri uendako na hongera kwa kaz

    Jibu

    Wakati fulani nilifikiri angesajiriwa na timu kubwa zaidi. Craig Gordon amestaafu kwa heshima#meridianbettz

    Jibu

    Kila la kheri gordon

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Kila la kher na kwenda kuanza.maisha mapya msimu ujao

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safari njema

    Jibu

    Mafanikio alihowapatia yanatosha Sana kujivunia

    Jibu

    Ki la la kheri

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako

    Jibu

    Kila la kheri nyanda Bora wa muda wote celtic

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako

    Jibu

    Kila la kheri aendako

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Akapunzik regend kasaidia san

    Jibu

    Kila kheri kwake

    Jibu

    Maoni:Ustaafu kwa amani Craig Gordon

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.