Kocha mkuu wa Norwich City, Daniel Farke, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kukinoa kikosi hicho mpaka 2025.
Farke alikabidhiwa mikoba ya kukinoa kikosi hicho mwaka 2017 akitokea Borussia Dortmund II na amefanikiwa kuirudisha Norwich City kwenye EPL kwa mara ya pili msimu ujao.

Sambamba na Daniel Farke, kocha msaidizi – Eddie Riemer, Christopher John na Chris Domogalla pia wamesaini mikataba mipya ya kuendelea kubaki Norwich mpaka 2025.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!


