Unapenda viumbe wa kusadikika wa kizamani sana – dragons? Kama ndiyo basi sloti yako ikufaayo ni ya The Dragon Kingdom! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa ufadhili wa Pragmatic Play inakupa wewe utamu wa gemu yenye majumba ya zamani, milima na miinuko.Kabla hujaingia kwenye ufalme ukiwa na Meridianbet, weka mkeka wako kuwa – / +, na kisha unaweza kuanza kucheza gemu kwa kuzungusha au kuitega ijichezeshe yenyewe.
Sloti ya video ya mtandaoni ya The Dragon Kingdom ina milolongo mitano na mistari 25 ya malipo. Alama ya wild card ni Dragon Kingdom na inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za Scatter. Alama ya Free Spins ni alama ambayo inakupa wewe bonasi na ina muundo wa duara za bure ambapo ni kuwa alama ya Scatter inawakilisha “Glowing Gate in an Unknown Land”.
Mizunguko ya bure mitatu au zaidi inakupa wewe bonasi kwa mizunguko ya bure. Ukishaikubali tu unapata mizunguko ya bure mitano lakini wakati wa kuzungusha unaweza kupata zaidi alama za Scatter na vile vile mizunguko zaidi ya bure!
Unapoanza mzunguko wako wa bonasi unakuwa na chaguo mojawapo kwenye machaguo matano kuamua ni alama gani itakuwa pendwa kwako na namna gani inaweza kuzidishwa kwa umoja wake na ukaipata.
Kiukweli kuna bonasi kubwa sana zikiwa katika muundo wa mizunguko ya bure! Unahakikishiwa kuburudika ukiwa na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!


lombo
Dragon kingdom’s game kali sana
Theckla
Mchezo mzuri sana
Dorophina
Mchezo bomba sana huu
Ester mmakasa
Slot ya dragon kingdom iko poa hatari cheza uone mwenyewe.
Adelta
dragon kingdom game Kali Sana hii meridian mambo n moto
mwakalosi
Ngoja tuingie chimbo kupata free games tuone kama unatoa pesa
frank patrick
Bestkasino game aisee
winfrida
mchezo nimeupenda
Rehema
Mchezo mzuri sn
Povel
Meridian bet ni baba lao
Ernest
Nice Game, Lets go spinning!!!!!
Aziza mushi
Mchezo mzuri sana👍
Neema hassan
Bonus Kama zotee ukiwa na meridianbet pekee..
Hope mwaikuka
Ni mchezo mzur sana huu
felister
huu mchezo ni mpya…?
Asha
Game nzuri Sana meridian baba lao
Carolyne
Pesa nje nje
Asia Abdy
Game kali htr
Rehema Dickson
Mchezo mzuri
Ester jackson
Mchezo mzuri sanaa
Gabriel
Good news 👍# meridianbettz
Emmy cleopa
Mchezo ni mzur sana #meridianbettz
Antony Luseno
Usipitwe chagua spin yako na meridianbettz
aisha
Dragons ni mchezo mkali kinyama
Genia Sikaluzwe
Mchezo huu ni mzuri sana