Droo ya hatua ya mtoano ya kufuzu kombe la Dunia kwa Mataifa ya Afrika kuweza kupata timu 5 zitakazoshiriki michuano hiyo imewekwa wazi siku ya jana Jumamosi Cairo-Misri.
Washindi wa michezo hiyo watakuwa wamefuzu moja kwa moja kutinga fainali za Kombe la Dunia Qatar kwani kwa sasa zinatafutwa timu tano kutoka kwenye Mataifa kumi.
Senegal watacheza na Misri itawakutanisha nyota wa Liverpool Sadio Mane na Mohamed Salah kila mmoja akiliwakilisha taifa lake, ikimaanisha mchezaji mmoja kati yao atakosa kushiriki michuano hiyo.
Droo nzima ya kufuzu Kombe la Dunia Qatar 2022 ipo kama ifuatavyo;
🇬🇭 Ghana vs Nigeria 🇳🇬
🇪🇬 Egypt vs Senegal 🇸🇳
🇨🇲 Cameroon vs Algeria 🇩🇿
🇨🇩 DR Congo vs Morocco 🇲🇦
🇲🇱 Mali vs Tunisia 🇹🇳
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA