Wayne Rooney na "Game of survival"

Kocha wa timu ya Derby County Wayne Rooney anapitia katika kipindi kigmu cha kuweza kuikwamua timu hiyo isiweze kushuka daraja  baada ya kupoteza mchezo wake dhidi ya Nottingham Forest.

Derby County kwa sasa inashika nafasi ya pili kutoka chini kwenye msimamo huku akiwa na point 14 tu kwenye michezo 27 aliyocheza, kutokana na makosa yaliofanywa na mmiliki kwa matumizi mabaya ya fedha yalipelekea kukatwa point 21.

Wayne Rooney anafanya kadri awezavyo kuweza kuinusuru klabu hiyo, hivi karibuni karibuni kampuni kutoka nchini marekani Carlisle Capital, walitoa offa ya £28million ya kutaka kuinunua klabu hiyo lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya yoyote iliyotolewa na kuhusu kinachoendea.

Wayne Rooney alipoulizwa kuhusu hali inayoendelea kufuatiwa kupoteza kupoteza 2-1 dhidi Nottingham Forest siku ya jumamosi alijibu.

“Nimeziona habari leo, sijazungumza na yeyote tangu jana, lakini yeyote atakaye kuja sawa, tunahitaji mtu ambaye atakuja kutusaidia, tunahitaji pesa, tuanapendelea mtu atakayekuja kutusaidia hii klabu iwepo.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe