Ni Jumatatu ambayo, mashabiki wa Manchester United wanaianza rasmi safari mpya chini ya Erik Ten Hag. Ni kipi wakitarajie?

Baada ya kumaliza msimu wa 2021/22 kwa kupokea kichapo kutoka kwa Crystal Palace, Erik Ten Hag ametua rasmi jijini Manchester na kuzungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza.

Hajawahi kufika Manchester wala kuingia Old Trafford, sasa OT inakua ni nyumbani kwake kwa miaka 4 kuanzia leo. Pamoja naye ni wasaidizi wake, Steve McLaren na Mitchell Van der Gaag.

Katika mengi aliyoyazungumza Ten Hag kwenye mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari, meneja huyu amesisitiza kuwa na furaha ya kuipata nafasi hii ambayo anaamini ni nafasi adimu kuipata kwa klabu kama Manchester United.

Erik Ten Hag

Erik Ten Hag ameweka wazi mpango wake adhimu wa kuendelea kufanya kazi na Cristiano Ronaldo akimtegemea zaidi kwenye safu ya ushambuliaji. Sambamba na CR7, Ten Hag yajatoa jibu la moja kwa moja kuhusu kuendelea na Maguire kama nahodha msimu ujao, kwake ujumbe ni mmoja kwa wachezaji wote – tunaanza upya.

Mipango yake ya kuisuka upya United imeanza rasmi na inafanyiwa kazi kuanzia sasa huku akisema wazi, maandalizi rasmi ya kukisuka kikosi cha msimu ujao yataanza Juni 27, 2022.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa