Klabu za Juventus, Barcelona na Real Madrid wanajiandaa kufufua tena wazo lao la European Super League huku wakija na mabadiliko mapya ambayo ni kuondoa ushiriki wa kudumu baada ya mpango wao wa awali kushindwa.

European Super League awali illishirikisha vilabu 12, huku mawazo yao yakifa ndani ya saa 48 baada ya kutangaza, huku vilabu sita vya Uingereza vikijiondoa na kupewa adhabu na bodi ya ligi.

European Super League, European Super League Kufufuliwa Upya Wiki Ijayo, Meridianbet

Vilabu vitatu vilivyobakia vimeamua kufufua wazo hili, huku rais wa klabu ya Juventus Andrea Agnelli anatarajia kuzungumza kuhusu mpango mpya wa mashindano ya European Super League siku ya alhamisi.

Miongoni mwa mabadiliko yanayotarajiwa kufanyia kazi ni vilabu shiriki itabidi vifanikiwe kufuzu kwenye nashindano ya ndani ili kuweza kuingia kwenye mashindano hayo, pia majiji mapya yataongezwa ambayo mashindano hayo yakuwa yakifanyika.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa