Klabu ya Everton wanataka maelezo zaidi kutoka kwenye bodi inayosimamia viwango vya waamuzi kwenye ligi kuu ya uingereza baada kunyimwa penati kwenye mchezo wa derby ya Merseyside siku ya jumapili.

Everto wako kwenye hatari ya kushuka daraja baada ya kupoteza kenye derby hiyo kwa goli 2-0 kwenye dimba la Anfield, kwa magoli yaliofungwa na Andy Robertson na Divock Origi, ambao walihakikisha klabu ya Liverpool inapata alama tatu nyumbani.

Everton

Everton wana hasira ya kunyimwa penati katika kipindi cha pili baada ya Anthony Gordon kufanyiwa madhambi kwenye eneo la hatari na mlinzi wa klabu ya Liverpool Joel Matip.

Taarifa zinasema kuwa Everton, wanajianda kupeleka malalamiko rasmi kwenye chama cha ‘Professional Game Match Officials Limited (PGMOL’  kuhusiana na tukio hilo.

Klabu ya Everton haikutaka kumshtumu moja kwa moja mwamuzi wa mchezo huo Stuart Attwell, badala yake walilalamikia zaidi matumizi ya VAR. Kusema kuwa haikufanya kazi sasa, na waamini kuwa kukataliwa kwao ni kutotumia vizuri mfumo huo ndio maana waliikataa.

Pia chama cha soka nchini Uingereza FA, wanataka kumuhoji kocha wa klabu hiyo kutokana na maelezo yake aliyoyatoa kuhusu mwamuzi wa mchezo huo kuhusiana na tukio la penati hiyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa