FA Kumuongezea Southgate Mkataba Baada Ya Euro 2020

Shrikisho la soka la Uingereza, FA, limepanuia kumuongeza mkataba kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate baada ya mashindano ya Euro 2020, ikiwa ni kufurahishwa na weledi wake mzuri.

Southgate alichaguliwa meneja wa timu hiyo kutoka Novemba 2016, baada ya kuchukua mikoba ya Sam Allardyce. Kusaini kwa mkataba baada ya kuongeza England kwenye mashindano ya kombe la dunia kule Russia.

FA imeona kuna haja ya kumuongeza mkataba mpya kocha tena kutokana na kufikisha timu hiyo katika raundi ya 16 ya mashindano ya Euro 2020, na sasa watakutana na Germany katika hatua hiyo baadae wiki hii.

Southgate amekuwa akipingwa na wadau wengi wa soka la England kutokana na maamuzi yake ya upangaji wa kikosi na mbinu zake kwa ujumla. Huku ugeni wa mashindano ukiwa kama kielelezo kikubwa cha kocha huyo. Je ni sahihi kuongezewa mkataba kama wanavyotaka FA?


USHINDI BILA MIPAKA!

Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.
Arsenal, Arsenal Wawasilisha Ofa ya Pili Joaquin Correa., Meridianbet

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.