Aubameyang Aipania El Classico Yake ya Kwanza

El Classico ni mechi kubwa ya mahasimu wawili wa soka la Hispania ambayo inawakutanisha Real Madrid na Barcelona sasa Pierre-Emerick Aubameyang amefunguka jinsi ambavyo anauchukulia mchezo huo.

Aubameyang Aipania El Classico Yake ya Kwanza

Mshambuliaji huyo wa The Blaugrana tayari ameshakutana na Madrid mara sita kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa wakati akiichezea Borussia Dortmund sasa anaenda kucheza dhidi yao katika LaLiga kwa mara ya kwanza.

“Napenda kucheza dhidi ya Real Madrid,” aliiambia Barca TV.

“El Classico ni mechi kubwa ulimwenguni sababu kila mtu anaiongelea kuhusu mechi hiyo”.

Lakini pia alisema kwamba Barcelona kwa sasa wanacheza vyema wakiwa chini ya usimamizi wa Xavi Hernandez.

“Tupo katika fomu nzuri kwa sasa, tunapaswa kusonga mbelena kujiamini sisi wenyewe,”


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe