De Ligt: Bayern Munich Nafasi ya Kubeba Uefa ni kubwa

Beki wa kimataifa wa Uholanzi Mathias De Ligt amesema kua alijiunga na klabu ya Bayern Munich kwakua ni rahisi kushinda taji la ligi ya mabingwa ulaya ukiwa na klabu hiyo.

De Ligt anasema hakujiuliza mara mbili ilipokuja ofa ya klabu ya Bayern Munich kujiunga kwkaua ukiwa na mabingwa hao wa soka nchini Ujermani nafasi ya kutwaa taji la ligi ya mabingwa barani ulaya ipo wazi.de ligtBeki huyo wa kimataifa wa Uholanzi ambaye alikua na mismu kadhaa ndani ya klabu ya Juventus na akionekana kufanya vizuri, Lakini ametimkia klabu ya Bayern kwajili ya kushinda taji la ulaya.

Beki Mathias de ligt amefanikiwa kufanya vizuri kwenye vilabu vya Ajax, na Juventus na sasa klabu ya Bayern Munich lakini bado hajafanikiwa kushinda taji la ulaya ambalo linaonekana kumnyima usingizi beki huyo.de ligtKlabu pekee ambayo mchezaji huyo alikaribia kushinda taji la ulaya ni klabu yake iliyomkuza ya Ajax ambapo alifanikiwa kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya katika msimu wa 2018/19, Lakini mpaka sasa hajafanikiwa kufika hatua kubwa kama hiyo kwenye michuano hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.