Baada ya kutolewa kwa mkopo na klabu ya Juventus na kurudi tena Bayern Munich, bado Douglas Costa anataabika kupata namba kwenye kikosi cha miamba hio ya soka la Ulaya.
Costa alihusishwa na Man United kama mbadala wa Jadon Sancho lakini mwisho wa siku, Juventus waliamua kumtoa Mbrazil huyo kwa mkopo na akarudi tena Bayern.

Kutokana na kutaabika akiwa benchi kwenye kikosi cha kocha Hans Flick, mchezaji huyo amegusia uwezekano wake wa kurejea Italia. Kwake ni bora arudishe mpira kwa kipa, arudi alipotoka kuliko kuendelea kusugua benchi Bayern Munich.
“Nitapenda kurejea Italia, nchi ninayoiheshimu sana. Ngoja tuone kitakachotokea. Bado nina mkataba na Juve” alisema Douglas Costa wakati akizungumza na Pierluigi Pardo.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Costa jitahid utapata namba tu
Costa pambana
Asante kwa taarifa
Costar ni mtu hatari
Douglas ni mchezaji mzuri Sana
Uamuz sahihi
Inawezekana hajaendana na matakwa ya Kocha! Maisha ya wachezaji yapo hivyo
Vizuri
Dogo yuko poa sana