Mchezaji nyota wa klabu ya Borussia Dortmund Erling Haaland amepigwa picha leo akirejea mazoezini baada ya kufanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Manchester City kwenye hospitali ya nchini Ubelgiji leo jumatatu.

Sasa mashabiki wa klabu ya Man City wanaweza kujipa moyo na kjihakikishia kuwa Erling Haaland ni moja ya mchezaji wao, ambaye anatajiwa kuvaa jezi ya timu hiyo kwa msimu unaokuja, baada vilabu hivyo kuthibitisha kukubaliana kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo.

Erling Haaland

Erling Haaland anajiandaa kutua kwenye kikosi cha Pep Guardiola, baada ya Man city kukubaliana maslai binafsi na mchezaji huyo pamoja na wawakilishi wake wiki za hivi karibuni,  pia wamekubali kulipa ada ya kuvunja mkataba wenye thamani ya €60 million kwa Dortmund.

Kwenye mtandao wa klabu ya Man city leo waliandaika, “Manchester City imeweza kuthibitisha kuwa imeafikiana makubaliano ya msingi na klabu ya Borussia Dortmund kwenye uhamisho wa mshambuliaji Erling Haaland 1st July 2022.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa