Kocha wa timu ya Pep Guardiola amethibitisha kwamba Man City ipo karibu kuamalizia usajiri wa mshambuliaji Erling Haaland na amekubali kuwa klabu zote zimekubaliana kutokuzungumzia swala la usajiri huo.

Man City wamekubali kumsajiri mchezaji na sasa wamejifungia ili kumalizia mazungumzo na klabu ya Dortmund, huku City wamekubali kulipa ada ya kuvunja mkataba wake ambapo inakadiliwa kuwa kiasi cha £60milion.

Pep Guardiola

Hatma ya Haaland lilikuwa jambo la kwanza kuzungumziwa kwenye kikao na waandishi wa habari siku ya jumanne na Pep Guardiola amethibitisha kuwa kila kitu kinakwenda sawa nyuma ya pazia

“Kila mmoja anajua kuhusu hili,sipaswi kuzungumza kwa sababu sipendi kuzungumzia kuhusu swala lijaro au msimu ujao. Dortmund na Man City wameniambia siruhusiwi kuzungumzi chochote hadi maswala yakamilike. Tutakuwa na muda wa kulizungumzia hili.

“Waandishi walipo sisitiza kupata majibu yalionyooka Pep Guardiola alicheka na kusema , ningependa kulizungumzia, wameniambia nisiseme kitu chochote hadi maswala ya kisheria yatakapo kamilika. Tutakuwa na muda wa kuzungumza, sio kwa sababu sitaki.”

Pep Guardiola

Mazungumzo yaliamia kwenye mawazo ya jumla ya Man City ya kuongeza wachezaji wapya, mshambuliaji hatari, na alipoulizwa Pep Guardiola nini anatarajia kutoka kwenye timu yake akiwa na mshambuliaji namba tisa wa asili akiongoza mashambulizi.

“Tuna namba tisa, tunawachezaji wapya kwenye kikosi chetu, baadhi wametoka kwenye akademi ambao watakuwepo msimu ujao. Wachezaji wapya mara zote wamekuwa wakinisaidia kuwa imara zaidi, sio tu walinzi wazuri watatua tatizo la ulinzi na sio washambiliaji wazuri watatatua tatizo la ufungaji.

“Tangu siku ya kwanza ni kama kutoka sehemu moja ya kipindi kwenye mwanzo wa msimu, tumefunga magoli mengi na kufungwa machache. Klabu mara zote imekuwa na maono ya mbali. Maamuzi klabu inayochukua, mara nafahamu na asilimia 100 nasaidia.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa