Conte Kuondoka The Blues? Nani Kumrithi?

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa meneja wa klabu ya soka ya Chelsea, Antonio Conte ana uwezekano mkubwa wa kuondoka pale Darajani Stamford kipindi cha mwisho mwa msimu huu wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Nani kumrithi?
Habari zinaenda mbali zaidi na kusema kwamba kocha Massimiliano Allegri wa Juventus na yule ambaye alikuwa kocha wa Barcelona, Luis Enrique wanaongoza kuchukua nafasi yake. Unadhani ni nani ambaye atamrithi?

Acha ujumbe