Samuel Eto’o anaamini mshindi wa Ballon d’Or mara mbili, Ronaldo De Lima ndiye mshambuliaji bora zaidi yake na wa wakati wote. Ronaldo alikuwa mashuhuri kwa uwezo wake wa kufunga mabao mengi kwa Brazil na katika ngazi ya klabu kwa Barcelona, Real Madrid, PSV, na Inter Milan akifunga mamia ya magoli yake katika maisha yake ya soka ambayo yalidumu kwa miaka miaka 18.

Kando na mafanikio yake katika ngazi ya klabu, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 43 alishinda Kombe la Dunia mnamo 1994 na 2002, na akatunukiwa Tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia wa FIFA mara tatu, wakati akishinda Ballon d’Or mnamo 1997 na 2002… Alipoulizwa juu ya washambuliaji bora wa wakati wote, Eto’o – ambaye alidai kuwa mchezaji bora kabisa wa Kiafrika aliyewahi kutokea, alimtaja legend huyo Brazil, kwa jina la utani aliloitwa ‘El Fenomeno’ – neno la Kireno likimaanisha Phenomenon.

“Bora zaidi kuliko wote alikuwa Ronaldo, ‘O Fenomeno’,” Eto’o alinukuliwa akisema kwenye mahojiano ya moja kwa moja na AS.
“Nina heshima kubwa na sifa kwake… Halafu kuna wengi wetu ambao tunakuja nyuma yake, na ningejumuika kati yao”.
Nyota huyo wa zamani wa Barcelona alimchagua mchezaji mwenzake wa zamani, Lionel Messi na Mshindi Mara sita wa Balloon d’Or kama mchezaji bora ambaye bado yupo katika soka wakati nyota wa PSG Kylian Mbappe amemtabiria kuja kufanikiwa na kutawala kama Nahodha huyu wa Argentina katika siku zijazo.
Mwanaidi
Safi sana meridian kwa taarifa namkubali sana Delima
Gabriel
Kwel kabisa
Hamidu
Ronaldo alikuwa mshambuliaji hatari hata me nakubali.#meridianbettz
Povel
Thanks meridian bet kwa habar Moto moto
Lombo
De lima FUNDI
Theckla
Yuko sahihi kabisa
Elika
Safi sana meridianbet kwa kutupatia habari sahihi sisi wateja wetu#meridianbet
Adelta
Hata Mimi nakubaliana na Samuel maana amefanya mambo makubwa japo kwa muda mchache
Amani
Thanks meridian bet kwa habar Moto moto#meridianbettz
Agness
Nikweli
Samiah
Delima namubali sana
frank patrick
Ronaldo ni pure attacker mwenye kila aina ya skills sipingani na Fillz
Salma
Yupo sawa
Tahiya
Kwa upande wngu pia ni mchezaj bora
Ester mmakasa
Wote wanastahili kuigwa na wachezaji chipukizi.
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa taarifa
Rehema
Ronaldo alikuwa mchezaji mzr sn namkubali
khadija
Ronald namkubali sana#meridianbettz
mwakalosi
Hilo hakuna ubishi
Mwajuma
Yupo sahihi Ronald alikuwa fundi hatali
Hope mwaikuka
True say
Lydia Emmanuel Magoti
Nawakubali mafundi mpira
Antony Luseno
Ni mtazamo wa Etoo japo wapo wanaotisha zaid
Mariam mtandama
Meridianbet # ninafanya nifurahie zadi huduma yenu mzur na mnatujali wateja
Neema hassan
Asante meridian kwa makala..
Rehema Dickson
Mambo ayo
aisha
Delima namkubali sana yuko vizuri
Swai
Yuko sahihi maana Delima halikuwa hatari
Tatu
Rinaldo yupo vizuri kiuchezaji
Lydia Emmanuel Magoti
Wachezaji hote wapo vizuli Etoo yopo vizuri Ronaldo yupo vizuli kimchezo ote wanavipaji nawanalijua kabumbu kwaio kwaujumla wapo vizuli
Furahav
Kwel kabisa.
sylvester
De Lima fundi mpachika mabao anaayeishi miaka yote kwenye ulimwengu wa soka
Dorophina
De lima Ni mchezaji bora zaid
Ernest
Eto’o umetisha sana hapa, kweli Ronaldo alikuwa hatari sana kwenye kufumania nyavu.
SADICK
Hayo ni maoni yake, kwangu mimi Gaucho alikuwa bora kuliko Delima #meridianbettz
Mwanahamisi
Kweli kabisa
Furahav
Hakuna mtu hapo,bora Gaucho tu.
winfrida
etoo kaongea kweli ronardo mshambuliaji mzr sana
Isaya massawe
Delima alikua hatari asee amnaga kama yeye
Ester jackson
Kweli kabisa pongezi kwake
David pere
Delima mnyama Alikuwa anatisha kwa enzi zake
Hidaya Mohammed
Asante meridianbet kwa habari hii
Neema juma
Umenena vyemaa. Safiii sanaaa
Samira
Delima ni mchezaji bora sana