David Moyes Kusalia West Ham Mpaka 2024

Klabu ya West Ham imetoa taarifa rasmi kuhusu kocha wao David Moyes ambaye amesaini mkataba mpya wa kuhudumu klabu hiyo kwa miaka mitatu zaidi.

“Tunafurahi kutangaza kuwa kocha David Moyes amesaini mkataba wa miaka mitatu na timu”, ilisomeka taarifa katika ukurasa wao wa Instagram.

Baada ya kusaini mkataba huo, David Moyes alieleza kuwa West Ham ni klabu kubwa kama alivyosema mara zote. Huku akisifia sana mashabiki wenye moyo na uwanja mzuri ambapo yeye akiwa kama kocha hapo basi atasaidia timu kukua na kufanikiwa.

Msimu wa 2020/2021 ulikuwa wenye mafanikio sana kwa West ham huku wakimaliza nafasi ya 6 katika msimamo wa Ligi kuu ya EPL, kitendo kilichowahakikisha nafasi ya kucheza Europa League msimu wa 2021/2022.

David Moyes anadai kuwa kusalia West ham kwa misimu mitatu zaidi kutasaidia yeye kufanya awezavyo ili kuweka rekodi mpya kwa klabu hiyo.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

 

4 Komentara

    Abaki tu

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.