Mourinho: Kiwango cha Bale Kinaimarika

Baada ya kuuanza vizuri msimu mpya wa soka, kocha wa Tottenham – Jose Mourinho hana wasiwasi na kiwango cha Bale.

Gareth Bale alirejea tena Tottenham katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi akitokea Real Madrid akiwa ameshacheza michezo kadhaa.

Kuelekea mchezo dhidi ya Royal Antwerp kunako Ligi ya Europa, Mourinho amesema “Kiwango cha Bale kimeimarika na anaimani ataonesha kiwango kwenye mchezo wa leo”.

“Bale anacheza na sio kwamba tunahisi tu, tunadata zinazotuonesha kama kiwango chake kinaimarika. Anafanya kazi kwa nguvu kubwa na amekuwa mfano mzuri kwa kila mtu.

“Tabia yake kama mchezaji wa Tottenham ni mfano kwa wengine. Ninajionea kwa macho yangu na data za kisayansi zinaonesha hivyo pia.

“Anaendelea vizuri na pengine leo ataonesha kiwango ninachokizungumzia.”

Mourinho ameiongoza Tottenham katika ushindi wa michezo yote ya kufuzu Ligi ya Europa pamoja na ushindi katika mchezo wa kwanza wa makundi ya ligi hiyo.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

23 Komentara

    Kwa Bale ni subra tu inahitajika ila ni mchezaji bora ambae atafanya makubwa akiwa na Mourinho.Kila la kheri

    Jibu

    Vizuri Sana Mourinho kwakulijua ilo

    Jibu

    Bale ni mchezaji mzuri sana.ni suala la muda tu

    Jibu

    Bale in mchezaji mzuri sana ila bado anahutajika apate mazoezi zaidi kwa kocha wake

    Jibu

    Bale yuko fiti kweli

    Jibu

    Bale ni mchezaji mwenye kujituma

    Jibu

    Bale ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Hapo hakuna jipya zaidi kuwa na subira tuu maana ndo kilakitu

    Jibu

    Bale yuko vizuri

    Jibu

    Bale anajitahidi kwa kweli

    Jibu

    Bale kwa sasa yupo vizuri sana anajua nini anafanya

    Jibu

    Bale Yuko juu

    Jibu

    Bale anajituma sana

    Jibu

    Bale ni mchezaji ambae anauheshimu sana mpira hivyo ndio maana.kiwango chake kinazidi kuongezeka kila siku

    Jibu

    Bale ni kipaji kingine kabisa

    Jibu

    Bado Bale anadeni kubwa sana kwa wapenzi wa Spurs

    Jibu

    Bale yuko poa sana

    Jibu

    moriuhno kama hatamtumia bale hipasavyo tunaimani hatabadilisha matokeo pale clabuni totteniham

    Jibu

    Kawaida lazima mabadiliko au maboresho yawe chanya yenye manufaa kwa timu ndicho kinapa furaha Spurs.

    Jibu

    Gud to hear this

    Jibu

    Bale amekua kwenye kiwango bora toka arud totenham

    Jibu

    Bale tutegemeh makubwa kutoka kwake

    Jibu

    Bale anajuaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.