Mancini Amsikitikia Mario Balotelli.

Roberto Mancini ameelezea masikitiko yake kwa kumuuona Mario Balotelli muonendo wake kutoka kuwa kijana wa dhahabu hadi kuwa mchezaji wa thamani ya chini.

Bosi wa timu ya Italia Mancini alimpa nafasi Baloteli katika ligi ya Serie A kipindi anainoa Inter kwa wakati huo Baloteli alikuwa na umri wa miaka 17 mwezi Disemba, 2007 na mchezo wake wa kwanza kwa Azzurri ulikuwa kabla hajafikisha miaka 20.

Baloteli alimfuata Mancini katika ligi ya Premia wakati Machini alipokabidhiwa mikoba ya kunoa timu ya Manchester City, sehemu ambayo Balotelli aliweza kuonesha kipaji chake lakini alikuwa akikabiliwa na mambo mbalimbali ya nje ya uwanja.

Baada ya kuvichezea vilabu mbalimbali kama vile Inter Milan, Liverpool,Nice, Marseille na Brescia sasa amekuwa bila timu akiwa na umri wa miaka 30.

Akiongeakatika hafla ya moja ya michezo siku ya Alhamisi, Mancini aliongea juu ya Balotelli: “Nasikitika sana kumuona katika hali hii, akiwa na umri wa miaka 30 ilitakiwa awepo katika nafasi nzuri ya ukubwa katika soka na ilipaswa atumike katika timu ya taifa.

“Nampenda natumaini atapata jambo zuri .”

Kwa mapenzi aliyonayo Mancini kwa Balotelli alimuita katika kikosi cha timu ya taifa mara baada ya Mancini kukabidhiwa Azzurri mwaka 2018 baada ya kutoitwa katika timu hiyo miaka mingi lakini mshambuliaji huyo hakuweza kuilinda nafasi hiyo.

Balotelli alikuwa akihusishwa na vilabu mabimbali baada ya kuondoka Brescia msimu uliyopita na ilisemekana mapema mwezi Oktoba angejiunga na timu mpya “ndani ya wiki chache”.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

24 Komentara

    Balotel ujeuri ulizidi ndo maana akashuka kiwango

    Jibu

    Baloteli akiongeza juhudi ataimarisha kiwango chake.

    Jibu

    Baloteli ni mchezaji mzuri sana ila anakitabia Cha ujeuri jeuri akibadilika atakua mchezaji bora sana

    Jibu

    Balotel awe mpole asionyeshe makucha yake ktk uchezaji

    Jibu

    Balotel kiwango chake kimeshuka san kwa ss!! Inabid abadilike

    Jibu

    Nyota ya balotel imepotea awiki kama zamani

    Jibu

    Baloteli kwa Sasa kiwango chake kimeshuka sana

    Jibu

    Yupo sahii Mancini anacho kizungu mza kwa Balotelli

    Jibu

    Balotel jeuri sana abadilike

    Jibu

    Balotel awe na subra Mambo yatakaa sawa tu

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Balotel mbabe sana huyo ndio mana kiwango chake hakiwezi kukua kwa urahisi kutokana na tabia yake hata kama anacheza vizuri

    Jibu

    Balotel ili kiwango chake kirudi kama zamani anatakiwa kuwa na nidhamu ya hali ya juu

    Jibu

    Baloteli hana jipya kipaji kimefujika

    Jibu

    Barotel ndo bas tena kashapotea

    Jibu

    Nidhamu imempoteza mapema Balotelli kwenye Ramani ya Soka, Wachezaji wachanga wanakitu cha kujifunza kupitia Balotelli.

    Jibu

    Sijui kwa nini Balotelli huwa Hakui

    Jibu

    barotel kama hangekua kwenye gemu karne hii ya sasa hangekua mabali sana bado historia yake haiwezi kufutika kwenye ulimwengu wa soka na bado pia mri wake hunaruusa nafasi yake bado haijapata mbadala wake

    Jibu

    Balotelli anasumbuliwa na dharau na kutojali yeye ni nani katika kazi yake ndo maana anatangatanga sasa.

    Jibu

    Sifa zilimponza

    Jibu

    Baloteli amekua mchezaji asie na bahati sana

    Jibu

    Nidhamu ndo inapoteza soka la mario balotelli mapema

    Jibu

    Baloteli amepootea saiv

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.