Neymar nyota wa Paris Saint-Germain alilazimika kutoka nje kutokana na majeruhi wakati wa mchezo wa Champions League dhidi yaa Instanbul Basaksehir siku ya Jumatano.
Mchezaji huyo anayeiwakilisha timu ya taifa ya Brazil alionekana kutokua sawa katika mguu wake kushoto kipindi cha kwanza cha mchezo PSG akiwa ugenini nchini Uturuki.
Baada ya kufanyiwa matibabu alionekana hawezi tena kuendelea na mchezo na nafasi yake ilichukuliwa na Pablo Sarabia dakika ya 26 ya mchezo.

Ratiba inaonesha PSG wanamichezo mitatu ndani ya siku kumi zijazo kabla ya mapumziko kwaajili ya michezo ya kimataifa.
Watawakabili Nantes katika Ligue 1 siku ya Jumamosi pia watasafiri mpaka Ujerumani kwaajili ya mchezo wa Champions League dhidi ya RB Leipzig na mchezo mwingine utakuwa dhidi ya Rennes.
Neymar atakuwa kwenye shaka kubwa la kuukosa mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya Venezuela na Uruguay mwezi ujao, itategemea na hali yake itakavyokuwa inaendelea.
Na kocha Tuchel anawasiwasi Neymar mwenye magoli mawili na asisti tatu katika michezo sita kwenye mashindano yote msimu huu hatocheza michezo hiyo mitatu ya klabu kabla ya kwenda mapumziko ya kimataifa.
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.



Mwajumah
Pole sana Neymar
Carolyn
Pole yakeee
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole Sana Neymar
Mwanahamisi
Pole yake
Sylvester
Bila Neymar P S G hua inayumba mara nyingi Mungu amjalie apone mapema na inabidi ajiangalie sasa apunguze chenga nyingi kwani majeraha yanapunguza hari ya uchezaji
Ester jackson
Pole sana mana hapo PSG patakuwa na pengo kubwa lizilo zibika neyrmaa nitegemesi kwao
Adelta
Pole yake
aisha
Duuh hilo ni.bonge la pengo kwa psg
Sauda
Get well soon
Sabrina
Jamani pole sana Neymar
Fatina mfigi
Duuh pole neymar
Khadija
Pole sana Neymar
Angelina
Getwellsoon
Dorophina
Pole yake naymar
Elika
Pole yake Neymar atapona tuu
Ernest
Kaen na Mbappe wanakazi ya kuibeba PSG kutokana na Pengo la Neymar
warda
Wachezaji wanaumia sana siku hizi sijui kwa nini
zeiyana
umefika mda muafaka wa mbappe kuonesha maajabu yake PSG
Hopemwaikuka
Sorry for him
Issa
Neymar majeruh yanamfany kiwango kipungue
Povel
Get well soon
Saupha mohamed
Pole yake