Shirikisho la mpira wamiguu duniani FIFA limeonngeza lugha nne kwenye ghuduma yake ya matango ya mtandaoni kupitia chaneli yake ya  FIFA+ ambazo ni kijapani , kikorea, kiitaliano na Bahasa.

FIFA+ kwa sasa inapatikana kwa lugha tisa, ambapo awali ilikuwa inapatikana kwa lugha tano ambazo ni kiingereza, kifaransa, kijerumani, Kireno na kihispanyora, huku kukiwa na lugha Kiarabu kwa baadhi ya vipindi.

FIFA+

FIFA+ wanamkakati wa kuiongeza lugha ya kiarabu kwa siku za hivi karibuni, kutokana na uhitaji mkubwa wa mashariki ya kati, nchi ya ghuba Qatar kuandaa kwake kwa kombe la dunia kumechochea nguvu ya kuingiza lugha ya kiarabu kwenye chaneli hiyo.

Mkurugenzi wa maendeleo na mipango wa FIFA  Charlotte Burr alinukuliwa akisema, “FIFA+ inafanya mpira wa miguu uwe mchezo wa dunia, na kuwapa mashabiki kote duniani sehehu ya kuwa karibu na mchezo kwa mfumo mpya.

Kuanzishwa kwa lugha hizi nne ni sehemu ya mipango yetu kufikisha soka kwa jamii, tunafuraha kuwafikia mashabiki wengi duniani”

FIFA+ inatarajia kuotoa huduma ya bure michezo zaidi ya  40,000 kila mwaka pia kurusha matangazo ya michezo yote ambayo iliwai kucheza ambayo wamehifadhi  ya soka la wanawake na wanaume kwenye kombe la dunia.


Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa