Beckham: Kombe la Dunia Qatar Limeunganisha Mashabiki

Gwiji wa zamani wa timu ya taifa ya UingerezaΒ  na klabu ya Manchester United David Beckham amesema michuano ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Qatar imefanikiwa kuunganisha mashabiki pamoja.

Mchezaji David Beckham ambaye ametokea kwenye michuano ya kombe la dunia mara tatu mwaka 1998,2002, 2006 akiwa na timu ya taifa ya Uingereza ameyazungumza hayo kuelekea mchezo wa fainali kati ya Argentina na Ufaransa.beckhamGwiji huyo wa zamani wa Uingereza ambaye alipigwa sana mwanzoni na baadhi ya mataifa ya ulaya baada ya kuwepo kwenye kundi la wahamasishaji wa kombe hilo, Kwani kombe hilo lilifanyika nchini Qatar lilikua linapinga mapenzi ya jinsia moja na mataifa ya ulaya yalikua yanaunga mkono jambo hilo.

Gwiji David Beckham amesema kombe la dunia kufanyika katika katikati ya msimu imefanya mashabiki wengi kua pamoja na kuongeza ubora kwenye michuano hiyo baada ya kuchezwa katika ya msimu ambapo imetoa fursa ya watu wote kupata nafasi ya kushuhudia michuano hiyo.beckhamMichuano hiyo inatamatika rasmi leo katika fainali baina ya Argentina na timu ya taifa ya Ufaransa mchezo utakaopigwa katika dimba la Lusail, Ambapo timu hizo zote zitakua ziikisaka taji lao la tatu la kombe la dunia.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.