Timu ya taifa ya Uruguay imemfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wao Oscar Tabarez baada ya kuitumikia kwa muda wa miaka 15. Kocha huyo wa miaka 74 alirejea Uruguay kwa mara …
Makala nyingine
Timu ya taifa ya Ureno ilishindwa kujihakikishia nafasi kwenda nchini Qatar kwaajili ya michuano ya kombe la Dunia 2022 baada ya kukubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Serbia katika uwanja …
Timu ya taifa ya Ubeligiji imekata tiketi ya kwenda nchini Qatar kwaajili ya michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 baada ya kuinyuka Estonia 3-1 siku ya Jumamosi. Katika mchezo …
Ufaransa wanawaalika washika mkia katika kundi D Kazakhstan katika dimba la Parc des Princes mchezo wa kufuzu kwenda nchini Qatar kushiriki kombe la Dunia 2022. Taarifa ya Timu Ufaransa italazimika …
Gareth Bale anajiandaa kuwa mchezaji wa pili kwenye timu ya taifa ya Wales kufikisha michezo 100, ikiwa atacheza kwenye mchezo wa kufuzu kombe la Dunia 2022 dhidi ya timu ya …
Vilabu vya Premier League Vinapinga kwa kauli moja mipango ya FIFA ya kupanga upya kalenda ya mechi kuanzia 2024, ambayo itajumuisha Kombe la Dunia linalofanyika kila baada ya miaka miwili. …
Mechi za kutafuta tiketi ya kwenda nchini Qatar 2022 kwaajili ya michuano ya Kombe la Dunia zinaendelea Hispania wataendeleza jitihada za kutafuta kukaa juu kwenye kundi B watakapo safiri kukabiliana …
Nyota wa Manchesster United Paul Pogba amepata majeraha akiwa kwenye mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa wakijiandaa na kichezo ya kimataifa ya kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar. …
Miaka ya hivi karibuni soka limebadilika kwa kiasi kikubwa na sasa FIFA wanaangalia namna ya kuendelea kufanya mapinduzi katika mchezo huo pendwa ulimwenguni kwa kuondoa makosa ya kibinadamu katika kufanya …
Katika muendelezo wa michezo ya kufuzu Kombe la Dunia, Qatar 2022. Mambo yanazidi kutaradadi! CR7, Southgate, Hans Flick, Maehle ndio habari ya mjini. Hakika huu ni msimu ambao ulimwengu wa …