Golikipa wa Tottenham Hot Spurs Hugo Lloris anaamini kwamba wachezaji lazima wazingatie soka kwenye Kombe la Dunia ambapo yeye akiwa ni moja ya magolikipa waliochaguliwa kuichezea Ufaransa. Qatar imeangaziwa …
Makala nyingine
Gareth Bale yuko fiti kwa asilimia 100 na yuko tayari kwenda Kombe la Dunia akiichezea timu ya Taifa ya Wales baada ya kusumbuliwa na majeraha ambayo yalimuweka nje ya uwanja. …
Thuram: Huku Kombe la Dunia likitarajia kuanza chini ya wiki moja tu, Ufaransa wameongeza nafasi moja katika kikosi chao, kwa kumjumuisha mshambuliaji Marcus Thuram ambaye ni mtoto wa Gwiji la …
Rod Stewart anasema alikataa pesa nyingi kutumbuiza nchini Qatar, ikiwa ni pamoja na kukataa kutumbuiza kwenye jukwaa moja na Gwiji wa Mpira David Beckham. Mwanamuziki Stewart, mmoja wa wasanii waliofanya …
Mnamo Agosti 2019, Luis Enrique alitangaza kifo cha binti yake wa miaka tisa baada ya vita vya miezi mitano na ugonjwa wa saratani. Ndivyo alianza Enrique, mmoja wa wachezaji wenye …
Mshambuliaji wa Tottenham Spurs Harry Kane anaamini kuwa Uingereza hawana hofu tena ya kukiri kuwa wanaweza kushinda Kombe la Dunia, ambapo anafikiri kuwa kiwango kibovu cha Three Lions kinaweza kuwa …
Kiungo wa kati wa Manchester United Bruno Fernandes amesisitiza kuwa mpira wa miguu ni wa kila mtu huku mechi akijiandaa kucheza Kombe la Dunia lijalo nchini Qatar akiwa na timu …
Kochaย wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa uamuzi wa kumuacha Roberto Firmino nje ya Kombe la Dunia la Brazil kama “wazimu” kabla ya kufunga bao katika ushindi wa 3-1 dhidi …
Wayne Rooney ameunga mkono hadharani uteuzi wa kikosi cha Gareth Southgate katika Kombe la Dunia la England, akikiri kwamba hajali kujumuishwa kwa nyota wasio na kiwango Harry Maguire na Trent …
Mchezaji wa PSG na timu ya Taifa ya Brazil Neymar amesema kuwaย hana uhakika kama atapata fursa ya kuiwakilisha Brazil kwenye Kombe lingine la Dunia baada ya mashindano ya mwaka …
Mchezaji wa FC Barcelona Memphis Depay ameiambia Barcelona kuwa anataka kuondoka kwa miamba hao wa Uhispania kwa uhamisho huru baada ya Kombe la Dunia ambalo linalotarajiwa kupigwa Qatar. Depay …
Mchezaji wa PSG na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi anaona ufanano kati ya timu hii ya Argentina na ile ambayo ilikosa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka wa …
Beki wa PSG na timu ya Taifa ya Morocco Achraf Hakimi amemtaja Sergio Ramos kama “beki bora zaidi duniani” baada ya mchezaji huyo kuachwa nje ya kikosi cha Uhispania kwa …
Bayern Munich wanaaminika kutofurahishwa na Senegal kwa kumchagua Sadio Mane katika kikosi chao cha Kombe la Dunia, kulingana na ripoti. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool alisajiliwa na wababe hao …
Mchezaji wa Fulham Aleksandar Mitrovic anasalia kuwa shakani kuchezaย Kombe la Dunia licha ya kutajwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Serbia, kulingana na kocha mkuu wa Fulham Marco Silva. …
Lionel Messi atatengeneza mashambulizi ya hatari pamoja na Paulo Dybala, Lautaro Martinez na Julian Alvarez baada ya kujumuishwa katika kikosi chake cha tano cha Kombe la Dunia la Argentina. Mchezaji …
Washambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez pamoja Edson Cavani wanajiandaa kucheza michuano ya kombe la dunia kwa mara ya nne kila mmoja, Baada ya kuitwa kwenye kikosi …
Mchambuzi wa soka wa Sky Sport Jamie Carragher amesema kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Uingereza Gareth Southgate anapaswa kuachia nafasi yake kama meneja wa Uingereza baada ya Kombe …
Mchezaji wa klabu ya PSG raia wa Hispania Sergio Ramos ameachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Hispania kitakachoshiriki michuano ya kombe la dunia mwaka huu yatakayopigwa nchini Qatar …
Mchezaji wa klabu ya Leicester na timu ya taifa ya Uingereza James Maddison amefanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha mwisho cha timu ya taifa ya Uingereza kilichotangazwa jioni hii kuelekea kombe …